Nandy – Siwezi

Nandy – Siwezi

Tanzanian singer, Nandy releases a new song and video title, SIWEZI.

The African Princess is back as Nandy comes through with this emotional track- ” SIWEZI “, Produced by Kimambo Beats. Get song alongside Lyrics and Enjoy with visuals.

SIWEZI LYRICS

VERSE 1Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwaniKumbe kuachwa inaumaga iviiTena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririkaKumbe kuachwa ina umaga iviii we hayaaaUmeniumbua bora nisemeKiapo nilicho kula bora nikitemeMapenz shikamoo sirudii tenaaUmepatwa na nn si usemeKinachokufanya we unitemeMapenz shikamooo sirudiii tenaa we hayaaSa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaaAu ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa

CHORUSbila weee me siwez (sauti inarudia)Siwez siweziii ( nakumbuka uliniambia)

VERSE2

Unanifanya me nalewa sanaHaipiti siku bila kugombanaMapenz yako ya kibabe sanaMalumbano ya mapenz siyaweziKuna sielewi mana, iv kwanini kwako na ng,ang,anaMapenz gani haya kutesanaWasiwasi wa mapenzIvi kwann we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juuIna maana mie maisha yangu sito yasongesha oooh mapenziiii

Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaAu ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwaaa

CHORUSbila weee me siwez (sauti inarudia)Siwez siweziii ( nakumbuka uliniambia)

Listen!

Watch SIWEZI Official Video below;

 

[follow]

Leave a Reply

Your email address will not be published.