Laoudit

Home » Music » Diamond Platnumz – “Kamata” + LYRICS

« | »

Diamond Platnumz – “Kamata” + LYRICS

Ubiquitous  |     Jul 3, 2021  |     0   |     67

Diamond Platnumz – “Kamata” + LYRIC
Diamond Platnumz – “Kamata” + LYRICS

Diamond Platnumz has released his new single dubbed “Kamata” alongside it’s Lyric video.

Kamata Audio (Lyric Video), On this song Diamond Platnumz combines Afropop and Bongo Fleva.

It’s a sure banger and dance song… Enjoy!!!

Download

LYRICS

Kamata, KamataKamatika, kamataKamata, KamataMpaka Chini, kamata

Kamata, KamataKamatika, kamataKamata, KamataMpaka Chini, kamata

Kamata kiuno, kamata begaKamata kichwa ka ndoo unabebaKamata kimini chalegalegaWooh! Maana chashuka chini unanitega

Aah! Mah! Yaleo kibokoMwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopoAna komesha totoNami naleta nyundo nimtwange kokoto

Kamata, KamataKamatika, kamataKamata, KamataMpaka Chini, kamata

Kamata, KamataKamatika, kamataKamata, KamataMpaka Chini, kamata

Eeeh! Kama gari ile vuum! vuum! (Vuum! Vuum!)Mtoto mkali mchum mchum (Mchum! Mchum!)Ikiwa ngangali ile ngumu ngumu (Ngumu! Ngumu!)Nenda kamchinjie mbali kwa room room

Sa Twende kamataKama unaisakata nyumba kwa bambataIle kinomaTegeta, Tabata fanya unaifatataZa mbuzi kakataa, Amegoma Aaii!

Kati kati, Chini Chini, KamataKasi Kasi, speed 120, KamataEeeh! Kama unamenya ndizi, KamataPolice anashika mwizi, Kamata

Aah! Mah! Yaleo kibokoMwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopoAna komesha totoNami naleta nyundo nimtwange kokoto

NasemaKamata, KamataKamatika, kamataKamata, KamataMpaka Chini, kamata

Kamata, KamataKamatika, kamataKamata, KamataMpaka Chini, kamata

Watch the Lyric Video below

Follow us on all social media platform via @Laoudit to get the latest updates.No Comments Yet Drop a Comment

Name

Comment« | »